Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,638
- 6,432
Tuwekee kapicha tuone kama kweli usemayo yamoJamani [emoji7][emoji847]
Hangera
Huo mwili wako wa Zamani ni kama wangu wa Sasa.
Nimependa sketi yako.
Tuwekee kapicha tuone kama kweli usemayo yamoJamani [emoji7][emoji847]
Hangera
Huo mwili wako wa Zamani ni kama wangu wa Sasa.
Nimependa sketi yako.
View attachment 1462971
Goodnight to y'all
Good girl[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji6]View attachment 1462971
Goodnight to y'all
Ulale 😂😂Good girl[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji6]
Yaani unavyomuona Huyo alivyo mwembamba na mimi nipo hivyohivyoTuwekee kapicha tuone kama kweli usemayo yamo
Dogo nina balaa la ulcers hapa,kulala ni ishu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulale [emoji23][emoji23]
Unanioa lini?Kabisa kabisa
Kwa blanket hilo inaonekana huo mkoa uliopo baridi lake sio la kitoto. Usiku mwema na kwako piaView attachment 1462971
Goodnight to y'all
View attachment 1462971
Goodnight to y'all
Unanioa lini?
Mkuu bado upo mbeya nije kunywa hiyo juice?
Vitu vyote ni halali bali si vyote vifaavyo.GoodNight too Church Girl..View attachment 1462974
Niombee mpendwa [emoji7]View attachment 1462971
Goodnight to y'all
Mimi nipo tayariUtakapokua tayari!
Vitu vyote ni halali bali si vyote vifaavyo.
[emoji122][emoji122]Verse ya 23
Thank you church boy..GoodNight too Church Girl..View attachment 1462974
Hilo goti au?Baada ya kupitia self isolation ya covid -19, mwenyewe porini mwenye miti mingi hapa jirani yupo kama mita 200 for two weeks nimejifunza mengi sana, zaidi ni kuwa na muda wa peke yako, unajitibu mengi sana...muda huu miezi michache iliyopita ningekuwa bar probably na demu mpya mkalii ananichuna, nikishusha konyagi zangu pendwa, huku wife ananisubiri home...now five days working, 2 days relaxing, kwenye kijiji kimoja, nimepunguza konyagi, napiga wine huku nikijisomea vitabu vyangu...maisha yanaendaView attachment 1462972
Ndiyo. Ahsante, lala uote kitambi na ndevuKwa blanket hilo inaonekana huo mkoa uliopo baridi lake sio la kitoto. Usiku mwema na kwako pia
Kama kuna mchungaji humu atafungishe ndoa fasta!Mimi nipo tayari