Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakula limao mimi sijui nina kijini uchachu, na mimba sina eti. Nikila ugali na dagaa lazima wale dagaa niwakamulie kipande cha limao, na hapo bado zile nazokula na chumvi basi naenjoy mwenyewe ila kumbe nipo kujiteketeza [emoji23][emoji23]

Limao naacha kabisa
Milo nakula sana tu, asubuhi mwenyewe uwa nakula mara mbili.
Nuts na mtindi nakula sana, parachichi nitaongeza idadi
Maji nakunywa mno
Stress kubwa kubwa sina, siumwi pia
Karibu kwenye kula udongo [emoji3526][emoji847]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20200520_233428.jpg
 
Dah leo nimesahau kutupia View attachment 1455583

Jr[emoji769]

Huyo dada kaja kuchukua vyombo au Hela Boss, Au na yeye kala? [emoji3] kwa tuliosoma Photography interpretation tatu B, location ya Dada na wewe wakati unapiga picha ni tata sana, tena zero distance (IMO)= In my Opinion.[emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
How can I gain weight?

Nimelose karibu kilo 7 kwa April na hii may, last time kupima ilikuwa march na ilibaki kidogo nivuke 60KG, na sina stress nzito nzito na kuhusu kula uwa nakula mpaka baby ananitania food monga 😝
Leo nimepima uzito mpaka nikataka kuukimbia kuwa sio wangu.

Nakula mno limao, yan nakula kama vile nakula chungwa kumbe ni limao. Je inaweza kuwa source ya kunipunguza uzito wangu?

Mnijibu, nimeamua kuandika hapa maana sina muda wa kuanzisha Uzi .

Numbisa carbamazepine 😉😉
58 - 60 kg is actually a good weight range especially kama urefu wako ni average.
 
Huyo dada kaja kuchukua vyombo au Hela Boss, Au na yeye kala? [emoji3] kwa tuliosoma Photography interpretation tatu B, location ya Dada na wewe wakati unapiga picha ni tata sana, tena zero distance (IMO)= In my Opinion.[emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaaa

Jr[emoji769]
 
Mimi natia aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utadhani mama mjamzito..yaani nitajikanyaga weee Hadi nitafute kipande Cha udongo
Michele sijawahi kutafuna ila malimao huwa nayaelewa Sana nikitia na chumvi Basi mambo Ni Moto[emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wagonjwa tupo wengi ehhh???😬😬

Juzi nilikuwa naulizwa niletewe nini kutoka Moshi nikawaambia udongo tu (ule unaouzwa gengeni sijawahi kuuelewa)...nothing else! 😁😁
 
Kumbe wagonjwa tupo wengi ehhh???[emoji51][emoji51]

Juzi nilikuwa naulizwa niletewe nini kutoka Moshi nikawaambia udongo tu (ule unaouzwa gengeni sijawahi kuuelewa)...nothing else! [emoji16][emoji16]
Mimi Jana uliniishia
Nimejitahidi kukaa mchana bila kula,jioni uvumilivu ukanishinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom