Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,479
- 203,143
JamaniHahahaha, nyama choma,bia ,kitimoto mixer mchemsho asubuhi lzm ugeni uje
Mchemsho na hii baridi 🙌
JamaniHahahaha, nyama choma,bia ,kitimoto mixer mchemsho asubuhi lzm ugeni uje
Hahah niko poa namshukuru mungu,Mimi niko hapa nasubiria ya kwako.
Hujambo lakini?


Wewe utakuwa na shida nyingine.Mimi nadhani shida ipo kwenye kunywa maji.
Sinywi maji kabisa..na lile tatizo langu sijui ndio linanikondesha Mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
I miss you too🤗🤗🤗
Nahisi Ni lile tatizo..Wewe utakuwa na shida nyingine.
Lile tatizo lako sina hakika ila kuna zile dawa ukitumia mda mrefu side effects zake moja wapo ni kuongezeka uzito.
Angalia life style yako,kuna vitu vitakuwa haviko sawa




😊😊najua sema niko karantini ndo manaHahah niko poa namshukuru mungu,
Nilikumiss mno unajua!?
Picha nimetuma nyingi sana sasa sijui kwanini hamzioni!??
The only thing to fear is fear itself
Amegoma kabisa kurudi.I miss you too
Hivi abui hajarudi??
Haipandi?Jamani
Mchemsho na hii baridi![]()
Wanafunzi mnashida sana.Nahisi Ni lile tatizo..
Sehemu nyingine zote niko sawa tu..labda stress za kitabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nitamcheki jioni nikituliaAmegoma kabisa kurudi.
Hebu jaribu wewe kumuita labda atakusikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafunzi mnashida sana.
Vyuo vinafunguliwa lini kwani?![]()






Kwakweli.Ngoja nitamcheki jioni nikitulia

Nakula limao mimi sijui nina kijini uchachu, na mimba sina eti. Nikila ugali na dagaa lazima wale dagaa niwakamulie kipande cha limao, na hapo bado zile nazokula na chumvi basi naenjoy mwenyewe ila kumbe nipo kujiteketeza 😂😂Yaani imebidi tu nicheke kwakweli.
Unakulaje malinao kama unakula machungwa??
Una mimba ama?😂😂😂
Shida ni hizo limao zako unazokula.
Kwanza unatakiwa kujua kuwa limao liko na Vit.C na ile hali yake ya uchachu husababisha fats zivunjwevunjwe mwilini na sukari isihifadhiwe kwahiyo ina sababisha kupungua uzito.
Yaani hapa hata ule nini kwa idadi ya malimao unayokula yaani chakula kinaingia na kutoka.
Kama unataka kuongezeka,acha kula hizo limao zako.
Ongeza idadi ya milo unayokula.
Ongeza wingi wa chakula.
Kula maparachichi,nuts,ndizi,mtindi.
Asubuh kabla ya kula chochote anza na glass moja ya maji.
Punguza stress,kama unaumwa upate tiba.
Maji yanaongeza kilo? Tatizo lipi tukupe tibaMimi nadhani shida ipo kwenye kunywa maji.
Sinywi maji kabisa..na lile tatizo langu sijui ndio linanikondesha Mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa gani hizo? Panadol zingekuwa miongoni nahisi ningekuwa kifurushi 😂Wewe utakuwa na shida nyingine.
Lile tatizo lako sina hakika ila kuna zile dawa ukitumia mda mrefu side effects zake moja wapo ni kuongezeka uzito.
Angalia life style yako,kuna vitu vitakuwa haviko sawa
Yan hii baridi iliyopo huku na unavyotaja mchemsho mpaka utumbo wa chakula umetwerkHaipandi?
Dawa gani hizo? Panadol zingekuwa miongoni nahisi ningekuwa kifurushi![]()









Zingekuwa Panadol Mimi sijui ningekuwaje,ningekuwa sitoshi mlangoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole na majukumu,Am glad umekuja sasa nipo na furaha na amani tele.najua sema niko karantini ndo mana
Nilikukumbuka sana jana nikasema leo naiba simu nikisalimu.
Nashukuru nimekuona.
Acha mambo yako basi,weka picha nione![]()




Maji yanafanya mwili unawiri.Maji yanaongeza kilo? Tatizo lipi tukupe tiba