Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
Mchele ulivyokuwa mgumu.Udongo me hapana, labda mchele
Mbona kama tabu Sana kuutafuna..yaani kuja kumaliza taya zote zinauma
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchele ulivyokuwa mgumu.Udongo me hapana, labda mchele
Asanteee 😘[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Ulipendeza Jamani
Hiyo style uliyonyoa[emoji91][emoji91][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah58 - 60 kg is actually a good weight range especially kama urefu wako ni average.
Huyo mwanao? Kazuri kanaonekana 😍#tbt from my short hair days View attachment 1455611
Yeah
Na ndiyo nilikuwa nacheza huko
Ila jana nimepima niko under 55KG
Michele mingine laini hadi rahaMchele ulivyokuwa mgumu.
Mbona kama tabu Sana kuutafuna..yaani kuja kumaliza taya zote zinauma
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀 halafu jana ukanidanganyaWow, tuma picha tuone. Ndio mambo yangu hayo [emoji23]hiyo size.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unapungua kwa speed sana. Anza kwa kuacha kula malimao kama wengine walivyosuggest. Isiposaidia inabidi ukamuone Dr.Yeah
Na ndiyo nilikuwa nacheza huko
Ila jana nimepima niko under 55KG
Yeah .🤗🤗🤗 Asantee.Huyo mwanao? Kazuri kanaonekana 😍
Kama Mimi tu[emoji1751]Yeah
Na ndiyo nilikuwa nacheza huko
Ila jana nimepima niko under 55KG
[emoji3][emoji3][emoji3] halafu jana ukanidanganya
Sawa mamyUnapungua kwa speed sana. Anza kwa kuacha kula malimao kama wengine walivyosuggest. Isiposaidia inabidi ukamuone Dr.
Kama wewe nini?
Niliona tu ujumbe usio na picha, yani wewe hufai kabisa 😀😀😀Hujaona? Fanya mpango Dm tuna swap fasta .
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji7][emoji7][emoji7]Tbt from my gallery [emoji184]View attachment 1455653sahii nimekuwa slim hadi camera ya Simu naiogopa [emoji3]
Me jana nilitamani kulia 😀😀
Si Bora weweMe jana nilitamani kulia [emoji3][emoji3]
😀😀 mwembamba mwenye nyama