Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

How can I gain weight?

Nimelose karibu kilo 7 kwa April na hii may, last time kupima ilikuwa march na ilibaki kidogo nivuke 60KG, na sina stress nzito nzito na kuhusu kula uwa nakula mpaka baby ananitania food monga [emoji13]
Leo nimepima uzito mpaka nikataka kuukimbia kuwa sio wangu.

Nakula mno limao, yan nakula kama vile nakula chungwa kumbe ni limao. Je inaweza kuwa source ya kunipunguza uzito wangu?

Mnijibu, nimeamua kuandika hapa maana sina muda wa kuanzisha Uzi .

Numbisa carbamazepine [emoji6][emoji6]
Duuuh!! Hivi mtu unapunguaje tu uzito na hauumwi[emoji134][emoji134][emoji134]
Mie nikipungua ni ninaumwa tena ninaumwa kweli kweli au nimeamua kujipunguza. Hivi hivi tu yaani ni mwili unasonga mbele kama injili[emoji134]
 
Aiii dada jitahidi kula

Me jana zilikuwa 52.3, alivyonitamkia roho ilifanya paa,akili ikasema hiki nini tena Mungu wangu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi mwenyewe nilishtuka
Halafu sijui Nina minyoo,,nikianza tu kula nakula kidogo tu nilishashiba
Siwezi kula tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kivuli
Tege langu la kimataifaView attachment 1455720

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashallah
giphy.gif
 
Back
Top Bottom