Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Mimi zipo hapo juu.Hiyo hapo juu.. na ww weka kile kiuno
Ongeza ingine Basi,hiyo haionekani vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi zipo hapo juu.Hiyo hapo juu.. na ww weka kile kiuno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] i remember this scene
Ujue nimefikia tu kwenye quote Yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We naye picha iko juu ya comment yako hapo hujaiona ?? Ujue unaanza kunizidi kwa uzembe soon tutaanza kuwa hatuchekani !!
Huyu dogo ni mzuri Sana..alishawahi kuweka picha kwenye Uzi wetu wa likesJamani kuna wakaka wazuri kuliko hata wadada. Yaani hadi aibu naona mimi.
Zangu ni hatari sanaa, zaidi ya pilipili + kipara 🤭 😀😀Hebu na wewe zile zako tunaita nywele za kipilipili
Nimeshaiona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni shombeshombe fulani hivi
AiseeHuo uchebe na hizo tender lips nina matumizi nazo, pic saved
Haki vile siioni. Naomba nitumie aisee.Simu yako ya mchina [emoji124]
Embu tukuone wewe mdadaJamani kuna wakaka wazuri kuliko hata wadada. Yaani hadi aibu naona mimi.
Tuanze na ya Zoë halafu ifuate ya Saint Anne..Unataka ya nani?
Yaani nayo nikikuwa sijaiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] duuh hiyo picha mie mbona naona weusi tu ??
Na ya yule Ally kumbe hata hakufuta bado ipo hadi saa hii nenda kaangalieUjue nimefikia tu kwenye quote Yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeHuyu dogo ni mzuri Sana..alishawahi kuweka picha kwenye Uzi wetu wa likes
Ngoja aongeze picha ingine umuone vizuri [emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nioneshe mfano
Hivi yako bado tu hutaki kuweka?Tuanze na ya Zoë halafu ifuate ya Saint Anne..
Ya kwako pia inahitajika pia
The only thing to fear is fear itself
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ndiyo nilitaka nishangae upitwe hivi hiviNimeshaiona
Mzuri Sana..mwee nayo niliipita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshaiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ya yule Ally kumbe hata hakufuta bado ipo hadi saa hii nenda kaangalie