Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,202
Mimi sasahivi nimerefuka.Afu ukinenepa unakuwa mfupi, kazi ipo [emoji23]
Yaani Kuna mtu Mara ya mwisho nilikutana naye mwakajana,juzi nimekutana naye ananishangaa nilivyorefuka..ukikonda unakuwa mrefu[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app