Haipo mbona
Haipo mbona
MamboAisee uko vizurii
Poa rafiki, habari yako!Mambo
Safi.. nakuona unazunguka hukuPoa rafiki, habari yako!
Una kasura kazuri
Na shingo ya kuvalia cheni














Ok
Sifanyi mazoezi hata kidogoHufanyi mazoezi!??
Umesema ni food monga wa chakula gani hasa!??
Kwa kuanzia kama hufanyi mazoezi na unakula nyama na wanga kama kawaida tatizo litakuwa hilo la kula Limao kama chungwa..
Kilo 7 kwa mwezi si kilo chache kupoteza ikiwa si mtu wa mazoezi,
Kunenepa ni jambo rahisi mno kufanya kula red meat za kutosha na wanga bila mpangilio bila kusahau soda katika mlo wako
The only thing to fear is fear itself
KazanaMimi napenda sana niwe mwembamba tena kuanzia juu hadi chini
Mhh mbona sijaonaMbona nimeweka sana halafu ulikuwepo
The only thing to fear is fear itself
Samsung yake bado inarudi pale pale kwenye zile za promotionNatumia simu zile za promotion
Mbona karma ana Samsung na hajaona.
Msitutishe
Sent using Jamii Forums mobile app
MkuuKey word : KICHWA .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Upo vizuri... itakua unawaza corona ndio kunakupunguzia uzitoSifanyi mazoezi hata kidogo
Chakula hasa ni chips, wali samaki/ nyama kuku , ndizi machalali kina Manka wanaita na pia ndizi za kukaanga. + bites hizo kila muda najitafuna.
Wanga nakula, hizo limao aisee ndiyo sielewi.
Soda pia sio haba, mwisho jana nimekula vizuri kabisa pilau kuku + mirinda nyeusi ila nilivyomaliza nikala na kipande cha limao na hapo wakati napika mboga nilikuwa nishakula kingine.
Nitajitahidi, kula bila mpangilio ndiyo kupoje?
Pamoja na kukulia Buza lakini dera siwezi kuvaa
😀😀Key word : KICHWA .
Sent from my iPhone using JamiiForums