Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Bado. Ila yeye si huyo hapo kwa avatar.
Bado. Ila yeye si huyo hapo kwa avatar.
😂😂😂Mimi niliahirisha kuongeza mwili baada ya kuona dada zangu wanatamani wakonde ikiwezekana wawe Kama Mimi..naona jinsi wanavyohangaika kupunguza miili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi napenda sana niwe mwembamba tena kuanzia juu hadi chiniUkiwa moja utavaa nini? Mambo ya kuwa kama umetundikwa mie akuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Na mambo ya kuwa kama kifurushi pia sitakii
Yaani naona jinsi wanavyohangaika...wanahangaika wee..wengine wamekaa na njia hadi wamepata vidonda vya tumbo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aki we akili zako, usinenepe mwaya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyooNilianza na corona ilipokuja Tz [emoji23]
Mbona nimeweka sana halafu ulikuwepoHebu tuanze na yako kwanza
Nimeweka hukuwepo
Natumia simu zile za promotion [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatumia tecno sio? Huwezi kuona
Sitaki hiyo ya Avatar.Bado. Ila yeye si huyo hapo kwa avatar.
Karma muongo weweYaani hata hiyo picha ya kuweka huo mguu au mkono sina. Na camera yangu mbovu toto.
Kuna kama mbili nazikumbuka hadi leo..[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
😀😀😀Hahaha unataka mzee wa rojo aanze kuninanga "Daemusin lakini usimtag
Una nywele nzurii, tunaita nywele za singa singa
Nangoja yako
Unavaa dera tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa moja utavaa nini? Mambo ya kuwa kama umetundikwa mie akuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Na mambo ya kuwa kama kifurushi pia sitakii
Aisee uko vizuriiWanasema nimerith kwa Bibi yangu Kutoka Ethiopia [emoji4]
Sent from my iPhone using JamiiForums