Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

How can I gain weight?

Nimelose karibu kilo 7 kwa April na hii may, last time kupima ilikuwa march na ilibaki kidogo nivuke 60KG, na sina stress nzito nzito na kuhusu kula uwa nakula mpaka baby ananitania food monga
Leo nimepima uzito mpaka nikataka kuukimbia kuwa sio wangu.

Nakula mno limao, yan nakula kama vile nakula chungwa kumbe ni limao. Je inaweza kuwa source ya kunipunguza uzito wangu?

Mnijibu, nimeamua kuandika hapa maana sina muda wa kuanzisha Uzi .

Numbisa carbamazepine
Aise wengine tunatamani kupungua ikiwezekana tuwe hata kama moja
 
How can I gain weight?

Nimelose karibu kilo 7 kwa April na hii may, last time kupima ilikuwa march na ilibaki kidogo nivuke 60KG, na sina stress nzito nzito na kuhusu kula uwa nakula mpaka baby ananitania food monga 😝
Leo nimepima uzito mpaka nikataka kuukimbia kuwa sio wangu.

Nakula mno limao, yan nakula kama vile nakula chungwa kumbe ni limao. Je inaweza kuwa source ya kunipunguza uzito wangu?

Mnijibu, nimeamua kuandika hapa maana sina muda wa kuanzisha Uzi .

Numbisa carbamazepine 😉😉
Ngoja nikupelekee kwenye uzi wa likes
 
How can I gain weight?

Nimelose karibu kilo 7 kwa April na hii may, last time kupima ilikuwa march na ilibaki kidogo nivuke 60KG, na sina stress nzito nzito na kuhusu kula uwa nakula mpaka baby ananitania food monga
Leo nimepima uzito mpaka nikataka kuukimbia kuwa sio wangu.

Nakula mno limao, yan nakula kama vile nakula chungwa kumbe ni limao. Je inaweza kuwa source ya kunipunguza uzito wangu?

Mnijibu, nimeamua kuandika hapa maana sina muda wa kuanzisha Uzi .

Numbisa carbamazepine
Hufanyi mazoezi!??

Umesema ni food monga wa chakula gani hasa!??

Kwa kuanzia kama hufanyi mazoezi na unakula nyama na wanga kama kawaida tatizo litakuwa hilo la kula Limao kama chungwa..

Kilo 7 kwa mwezi si kilo chache kupoteza ikiwa si mtu wa mazoezi,

Kunenepa ni jambo rahisi mno kufanya kula red meat za kutosha na wanga bila mpangilio bila kusahau soda katika mlo wako

The only thing to fear is fear itself
 
Back
Top Bottom