Hiyo hapo juu.. na ww weka kile kiuno
Naisubiri[emoji23] ntakutumia dm unisave [emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huo uchebe na hizo tender lips nina matumizi nazo, pic saved
Una picha ngapi unigawie na mie!??Huo uchebe na hizo tender lips nina matumizi nazo, pic saved
Huo uchebe na hizo tender lips nina matumizi nazo, pic saved
HahaKey words: matumizi ya tender lips[emoji85]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unataka ya nani?Una picha ngapi unigawie na mie!??
The only thing to fear is fear itself
[emoji4][emoji4] [emoji120][emoji120] same hereNiko poa babe mefurahi kukuona
Ustadhi Ally mambo!
Una nywele nzurii, tunaita nywele za singa singa
The one and only babe i have, kumbe ni muhandsome hivoo😍😍View attachment 1454826
Moko Moko
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] duuh hiyo picha mie mbona naona weusi tu ??Una kasura kazuri [emoji124]
Na shingo ya kuvalia cheni
Hebu na wewe zile zako tunaita nywele za kipilipiliUna nywele nzurii, tunaita nywele za singa singa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni shombeshombe fulani hivi
Simu yako ya mchina 🚶[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] duuh hiyo picha mie mbona naona weusi tu ??
Jamani kuna wakaka wazuri kuliko hata wadada. Yaani hadi aibu naona mimi.
We naye picha iko juu ya comment yako hapo hujaiona ?? Ujue unaanza kunizidi kwa uzembe soon tutaanza kuwa hatuchekani !!