Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,556
- 235,330
Mbwa tangu aning'ate Sina hamu naye tena..Basi atakuwa alisamehe 7×70 akajua bosi alighafilika tu na moto wa sufuria.
Mi mapenzi yapo kwa mbwa kwa kweli licha ya kuwa zamani nilikuwa nawachukia maana kuna mmoja aliwahi kuning'ata nikiwa std2 ila baada ya kuwa mtu mzima aisee nimetokea kuwaelewa sana.
Yaani kuna kipindi nilinunua mpira maalumu wa kucheza na mbwa wangu basi ukichelewa kurudi akisikia harufu yako tu hizo fujo anaweza bomoa hadi banda ili mradi anata mcheze mpira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwambia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masikini jamani, kalikufa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah masikini paka wa watu, mwee we naye unaneng'eneka.Nakwambia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakufa ...alikaa Kama miezi hivi akapotea,sijui walimuiba paka wangu yule..
Ila ile siku Cha Moto alikiona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tangu siku hiyo huwa sishiki kitu Cha Moto bila mshikio.
Kuna siku nilishawahi mwaga mboga hivihivi.. Tena ilikuwa usiku[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nna uhakika hapo nzuri itakuwa ya Sean paulYeah ninazozijua mimi kuna hold my hand ya Michael Jackson na Akon na kuna hold my hand ya Sean Paul sasa wewe unataka ipi ??
HahahaKuna kipindi nilikuwa na nyau, alikuwa anapenda Sana kukaa pembeni yangu.
Sasa siku moja nikawa nipo nakula huku nikisubiri maziwa yachemke motoni..akawa amekaa pembeni..
Yale maziwa yakachemka yakataka kufurumia juu..Mimi kuzuia kufurumia si nikajidai kuepua sufuria kwa mikono,likanishinda nikamfunika Yule paka [emoji26]
Paka alilia Kama kuku anayewika..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Me kama sufuria haina mshikio wallah siepui bila kitambaa..
Mama anasema mtoto gani wa kike wewe unaogopa moto [emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah masikini paka wa watu, mwee we naye unaneng'eneka.
Hujamfikia Roger Sterling[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kuna mtu ametuma picha humu ndani Kama Mimi?
Au kwa vile Nilikuwa likizo na huu Uzi[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi umepotea sana humu mkuu
Nimepanda mlimaHaya kwa wale ambao hamkuniona
Depal
Sakayo
mshipa
Hawachi
James Comey
Naingia mjengoooniii
View attachment 1219442
Kumbe niliweka nyingi tu[emoji23]Mwanamke mtindiiiView attachment 1219447
Nilitupia full[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muolewaji Ni Mimi mwenyewe
Sakayo
Depal
Da'Vinci
mshipa
kapeace
Nimetupia fullView attachment 1219716View attachment 1219717
Nyau wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyau wewe