Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimekuja kuona picha yako
Weka basi[emoji4][emoji4]

Leo niko poa sana nashukuru

Mambo ni vipi lakini?
Safi[emoji3526]
Happy birthday kwako dada mzuri carba
Mungu akufanikishe katika Mambo yote[emoji8]..najua unajua kama nakupenda Sana[emoji3590]
Naomba usindikizie akhsante na picha moja ya baraka nikaweke status WhatsApp hata Kama hutaona[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui hata kwanini nimecheka.
Yaani wewe ni kivuruge ujue.

Asante sana cha ubishi/king'ang'anizi wangu.
Nakupenda tu na uchizi wako.

#pichaujebaadae[emoji4]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umshtue na kd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom