Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,847
Hili libaya eeh?Hahahaha, kuna MTU kasema hapo juu rudisha lile la mwanzo
Hili libaya eeh?Hahahaha, kuna MTU kasema hapo juu rudisha lile la mwanzo
Hahahaha, kwakua la zamani silijui siwezi sema km baya au laHili libaya eeh?
[emoji23][emoji23] lingine ndiyo lipi hilo ??Ukome [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me nilimpaga mawili akanichagulia hili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyooUsimsumbue kabisa melo
Ana Imani shida zako za kisumbufu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
The same as me. What is wrong with jf? Au ni simu zetu tuuOna Mara ya mwisho kupata notifications
[emoji1787]View attachment 1406162
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mr mshana. Bt nina swali.Hii ni kutufahamisha sisi kuwa pH ya virusi vya corona inatofautiana kutoka 5.5 hadi 8.5.
Wote tunahitaji kufanya, kupinga virusi vya corona, tunahitaji kuchukua zaidi ya vyakula vya alkali ambavyo viko juu ya kiwango cha juu cha pH cha Virusi.
Ambavyo ni:
* Limao- 9.9pH *
* Chenza- 8.2pH *
* Parachichi- 15.6pH *
* Vitunguu - 13.2pH *
* Maembe - 8.7pH *
* Tangerine - 8.5pH *
* Mananasi - 12.7pH *
* Dandelion - 22.7pH *
* chungwa - 9.2pH *
Unajuaje kuwa una coronavirus?
1. * Kuwashwa kwenye koo
2. * kukauka koo
3. * Kikohozi kikavu. *
4. Joto kubwa
5. kupumua kwa tabu
kwa hivyo unapoona vitu hivi haraka chukua maji ya moto kiasi weka limao kisha kunywa
Usibakie na habari hii peke yako. Sambaza kwa familia yako yote na marafiki. Mungu akubariki.
Jr[emoji769]
Ndo hakujibu hivoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyoo
How about pH ya parachichi ?[emoji23][emoji23][emoji23]..corona pH[emoji2357][emoji2357][emoji2357]Thanks mr mshana. Bt nina swali.
pH ya lemon kwa mujibu wa sayansi ya darasa la sita B ni below seven its just around 2 or 3 which is an acid. How come its ph is 9.
Au limao ukichanganya na maji linakuwa na ph hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo pH ya 22.7 vp?Hii ni kutufahamisha sisi kuwa pH ya virusi vya corona inatofautiana kutoka 5.5 hadi 8.5.
Wote tunahitaji kufanya, kupinga virusi vya corona, tunahitaji kuchukua zaidi ya vyakula vya alkali ambavyo viko juu ya kiwango cha juu cha pH cha Virusi.
Ambavyo ni:
* Limao- 9.9pH *
* Chenza- 8.2pH *
* Parachichi- 15.6pH *
* Vitunguu - 13.2pH *
* Maembe - 8.7pH *
* Tangerine - 8.5pH *
* Mananasi - 12.7pH *
* Dandelion - 22.7pH *
* chungwa - 9.2pH *
Unajuaje kuwa una coronavirus?
1. * Kuwashwa kwenye koo
2. * kukauka koo
3. * Kikohozi kikavu. *
4. Joto kubwa
5. kupumua kwa tabu
kwa hivyo unapoona vitu hivi haraka chukua maji ya moto kiasi weka limao kisha kunywa
Usibakie na habari hii peke yako. Sambaza kwa familia yako yote na marafiki. Mungu akubariki.
Jr[emoji769]
Mshana tunamuonea tuu hapa. Zaidi ya uganga hapa kwenye pH hapawezi.Hiyo pH ya 22.7 vp?
Mi ninavyojua pH ni 1-14.
Au mambo yalishabadirika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigogo2014
Hello blaza, ulipotelea wapi?
Nilijua na wewe umeamua kujitoa kabisa JF kama dada yangu B, ila huwa nakuona kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara.
Hahaha kule muhimu saana. KaribuNilijua na wewe umeamua kujitoa kabisa JF kama dada yangu B, ila huwa nakuona kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara.