sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Chart na picha imeishia wapi ile kauli mbiu?? Au tunasubiri huu ugonjwa uishe kwanzaNilijua na wewe umeamua kujitoa kabisa JF kama dada yangu B, ila huwa nakuona kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara.
Sent using Jamii Forums mobile app



