Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nini
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Fanya Hivyo Mdogo wangu.
BTW mimi nina Low Cut kwa Sasa.. Tangu mwaka uanze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siipendagi tu..
Naona kama wanaoweka way wanatabia fulani hivi tena za kufanana. Na sizipendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa wanakuwa wamepinda kiasi fulani
Mimi ndiyo Kinyozi wangu ila naona wa kawaida tu..Kwanza staili zake ni hizo hizo.. Kinachomsaidia anajipa Promo sana
Kuna Mmoja huyo nimemuona Ista.. nataka this time niende.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kajibu hili swali?
Ngoja nami nikaweke way nione venye inakuwa.
Utajifunza hivo hivo mkuuTehe, mtu kama hauna kipaji cha kuimba hata uende kwenye darasa la muziki bado utatoka kapa tu.
Eeh ! Kumbe ni KE nilidhani wewe ni ME. Samahani kwa kukuhisi tofouti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu subiri kwanza, hili koti mbona jipya ila mtu wa zamani?
Na haya manyimbo nyimbo sio yule dogo diaspora kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora na we umeuliza maana mi sijaelewa
Nimetaja hapo juu mkuu wangu[emoji2296][emoji2296] mkuu kwani id yako ya zamani ni ipi ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani wewe haujaweka
Nae alikuwa ana swaga za manyimbo nyimbo kama mimi ?Na haya manyimbo nyimbo sio yule dogo diaspora kweli?
Njoo salon yetu pale survey unyolewe bure na huduma ya massage nitakufanyia mimi mwenyewe bureeeeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora na we umeuliza maana mi sijaelewa
Sometimes una uandishi fulani wa kibabe hiviDaah mkuu kilichofanya uhisi hivyo ni nini ??
Sikushauri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo nataka nikaweke.
Kwanini mkuu
Hivi introverts huwa wanakuwa comedians ?