Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kesi ya nyani nimepeleka kwa tumbili, sasa shamba limebaki mabua
hiyo statement bora umewahi kuisema mwenyewe, yaani nusu nikuambie hapa kesi ya nyani umeleta kwa ngedere.

nimekumbuka kuna mtu alianzisha uzi wake, ukatoa comment moja hiyo hadi alijaa sukari nikashangaa tu "Jael sitaki mazoea na wewe", nikasema uwii huyu dada ataja kuua watu kwa hasira na majibu yake haya, maana sikuelewa ile comment yako na kutaka mazoea vinahusianaje.
 
Yan we dada I wish nikiona hicho kichwa ni Mara nyingi sana unakisema.

Tuacheni masihara jamani wale wanaoweka "way" uwa wanapendeza mno. Binafsi kwa sasa ni ngumu kuweka ile ya machine ila kwa kitana mitoko ya weekend NAWEKA
Umeona eenh, hata mie ndiyo nimetoka kumuambia hapa kuwa siyo mara ya kwanza kumsikia anasema hivyo kuhusu kichwa chake.
 
Back
Top Bottom