Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yan we dada I wish nikiona hicho kichwa 😀😀 ni Mara nyingi sana unakisema.

Tuacheni masihara jamani wale wanaoweka "way" uwa wanapendeza mno. Binafsi kwa sasa ni ngumu kuweka ile ya machine ila kwa kitana mitoko ya weekend NAWEKA
Hahahaha haki nimechekaje, ntakutumia picha siku moja. Na tuwaache watu wapendeze bana
 
*Kwa wale tunaofikiri wagonjwa 19 wa Covid 19 kwa Tanzania bado SIO SERIOUS!! Hebu tuangalie wenzengu wa nchi nyingine walikotoka wiki tatu zilizopita*

Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases

United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases

France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases

Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases

Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases

Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases

South Africa
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases

*Tupo pale wenzetu walipokuwepo wiki mbili tatu zilizopita.*
*Kama hatutajitahidi kujikinga nasi tutafika huko*.

*Watanzania wenzangu tujitahidi kuzuia muendelezo wa maambukizi ya Covid 19 kwa kuzingatia njia tunazoelekezwa na wizara.* .

*Ni jukumu lako wewe na mimi! Tuzingatie*

Jr
 
.
IMG-20200331-WA0180.jpeg
IMG-20200331-WA0181.jpeg
IMG-20200331-WA0182.jpeg


Jr
 
Back
Top Bottom