Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo ni miaka 27 sasa toka mtoto wa my Idol kafariki.
Rest in Peace Brandon Lee.
FB_IMG_15856851608072627.jpg
FB_IMG_15856852063504098.jpg
 
Me mwenyewe nachukulia kama ni urembo tu; and honestly wanapendeza mnoo. Aiaee ni vile tu nina huu mbichwa mrefu kama basi
Yaani tunatofaitiana sana, yaani wanavyopendeza na hizo way hadi mimi natamani kuiweka. Sijawahi kuwafikiria wanaoziweka kwa namna ya tofauti bali naona ni urembo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom