Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Hehehehe mie nahisi siku nitakayowaambia wazee wangu kuwa nataka kufuga dreads kama za rastafarians wataniona mtoto wao nimeshawehuka, hawatanikataza ila wataniona kama ndiyo tayari fuse zimeshaachia kama siyo kulegea kichwani.
Huwa napenda sana kumuona mtu mwenye rasta kama zile hasa wanaume wengi ndiyo huwa zinawapendeza, ila zisiwe rough sana kama za kina Lucky Dube au Bob Marley.
Huwa napenda sana kumuona mtu mwenye rasta kama zile hasa wanaume wengi ndiyo huwa zinawapendeza, ila zisiwe rough sana kama za kina Lucky Dube au Bob Marley.

nina experience nayo...hizo nyingine nitaenda google.