mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,061
- 4,847

yani acha tu
Ila hawa watu duh post utafikiri sio wafrika wenzetu![]()
Umecrop sana. Lol
Aisee!! Hata kama upo DSM, this is too much 🙌
Nakazia 😅Fulana imeharibu
Jr![]()
Kata tu 😅😅Uhair
Nipe tips za kuwa na nywele nzuri hivyo maana ninaenda kuzikata zangu si muda .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kiatu kirefu sana!
Kata tu 😅😅
Hawa masela wanapatikana website ipi na mm nikawadownload 😎Kuna wale masela ukiwa huna kitu wanajua mwana hapa apeche alolo, unashangaa muamala umesoma, unakula na kunywa juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikusindikize saloon? Kama Upo Dar nenda kwa cutting master hutojutiaHahaha yaani nmezichoka hapa !!
Pa kawaida. Kabla sijafikapo mawazoni nilikuwa najua ni bonge la kiwanjaSamaki samaki morogoro,karibuni tupunguze stress za mapenziView attachment 1389506
Sent using Jamii Forums mobile app