Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,999
- 8,353
Madale kumeanza pendeza ngoja nimalizie huu mjengo nije kujificha huku ndani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
MI nakubalinina experience nayo...hizo nyingine nitaenda google.
Pole kwa majanga ya PM
MI inatishia soko la wakongwe katika biashara ya smartphones.
hatari sana hawa jamaa.
Madale kumeanza pendeza ngoja nimalizie huu mjengo nije kujificha huku ndani...
View attachment 1404974
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba House Tour MkuuMadale kumeanza pendeza ngoja nimalizie huu mjengo nije kujificha huku ndani...
View attachment 1404974
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumenoga sana mkuu. Sema kuna kaumbali fulani natumaini hii lami ya ikipita hapa kwenda njia 4 kutanoga zaidi.Hongera mkuu, Madale naona watu wanashusha mijengo siyo ya kitoto.
Hongera mkuu, Madale naona watu wanashusha mijengo siyo ya kitoto.
jaribu kuviangalia hapa......link belowPicha tafadhali. Sivijui.
Karibu sana Mkuu. Naona umeitaja makumbusho pale kuna vinyoozi wazuri sana.

Inategemea na modelHivi Xiaomi na Oppo ni sh ngapi kwa hapa bongo eti? Na je zinaaccomodate dual sim cards?
kama hvyo vitakuwa sio pendeleo kwako ...jaribu brand ya VANS"Off the Wall"Picha tafadhali. Sivijui.
Sinyolei Makumbusho MkuuKaribu sana Mkuu. Naona umeitaja makumbusho pale kuna vinyoozi wazuri sana.
Saloon gani unanyoa pale
Sent using Jamii Forums mobile app
I thought unanyolea ama kupita hapo. Ningeweza kukuona ukiwa unatoka kazini.Sinyolei Makumbusho Mkuu
Nanyolea kwa Cutting Master nyuma ya 5N au Mlimani Tower.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo ofisin kwanguHuyo Kinyozi wako wa Makumbusho anaitwa nani Dear.. Maana nataka kuchek kwingine sasa...
Cutting Master nimpumzishe kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Boss wangu..I thought unanyolea ama kupita hapo. Ningeweza kukuona ukiwa unatoka kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app