Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uwii halafu hata jina lake na la saluni yake sijakariri, nimekariri tu sura yake na ile njia ya kuingilia kwenye saluni yake hata yeye amenikariri tu sura ila namba hatukupeana.

By the way ni vile nimenyoa mwaka huu na tangu nimeanza kunyoa nimeenda kwake mara tatu tu, nina mpango wa kuenda tena soon kwahiyo this time nikienda kama utakuwa bado haujanyoa nitakutajia jina lake ni ananyoa vizuri kwa kweli.

Huyo Kinyozi wako wa Makumbusho anaitwa nani Dear.. Maana nataka kuchek kwingine sasa...
Cutting Master nimpumzishe kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwii halafu hata jina lake na la saluni yake sijakariri, nimekariri tu sura yake na ile njia ya kuingilia kwenye saluni yake hata yeye amenikariri tu sura ila namba hatukupeana.

By the way ni vile nimenyoa mwaka huu na tangu nimeanza kunyoa nimeenda kwake mara tatu tu, nina mpango wa kuenda tena soon kwahiyo this time nikienda kama utakuwa bado haujanyoa nitakutajia jina lake ni ananyoa vizuri kwa kweli.
Mkishapena namba kinachofuata ni siku ya kuliwa kimasihara
 
Engineer mlozi
1585660889718.jpeg

Jr
 
Back
Top Bottom