Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiku na uwe mwema kwenu
20200330_221024.jpeg

jogoo
 
Nywele natural kutunza kazi, by the way nilitakaga nifuge dreads kama wale rastafarians, ila nikaambiwa zile ndiyo zinahitaji matunzo kuliko ninavyodhani, nikasema mwee sasa si bora ninyoe tu kuliko kuruka majivu halafu nikakanyage mikaa ya moto.

We nikaribishe kundini tu kwa amani kabisa, maana kurudi kusuka tena ni majaaliwa.
sio kipaumbele kivipi wakati ulikuwa na mchicha kabisa ule
 
Nywele natural kutunza kazi, by the way nilitakaga nifuge dreads kama wale rastafarians, ila nikaambiwa zile ndiyo zinahitaji matunzo kuliko ninavyodhani, nikasema mwee sasa si bora ninyoe tu kuliko kuruka majivu halafu nikakanyage mikaa ya moto.

We nikaribishe kundini tu kwa amani kabisa, maana kurudi kusuka tena ni majaaliwa.
Mama angu anapenda,kipindi naenda chuo alinambia nikaweke nikamwambia ka unayapenda kwanini hujaweka kwako...afu kipindi hicho me nilikuwa hata sizielewi dred nikagoma.

Kundini kumenoga tujitahidi tu kuongeza wadau Weylyn yna2
 
Uje uziweke bhana um sure utapendeza nazo .
Mimi kama sio kwetu ningeweka hizo dreadlocks
 
Back
Top Bottom