Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Doctor mbona unatoa macho kama fundi saa[emoji3][emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]
Mguu wa kuchukulia mkopo pale absa kabisa huu
[emoji3][emoji3]mkuu usifananishe mkopo na vitu vingine ujue, thank you lkn.Mguu wa kuchukulia mkopo pale absa kabisa huu
si kwa kupendeza huku, unaweza pewa mke bila kutoa mahari akii.
si kwa kupendeza huku, unaweza pewa mke bila kutoa mahari akii.
hahaa, mdogo angu ni mdogo huyoo ila unaweza msubiri yuko nursery sasa ana 5 years sahivi hahaa.