Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,077
- 136,505

.
.Hapo unapata soda ya 700na Karanga za 200.
Sent from my iPhone using JamiiForums

Ndio imeisha hiyo mkuu , Labda masela wasababishe na ualikwe
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna wale masela ukiwa huna kitu wanajua mwana hapa apeche alolo, unashangaa muamala umesoma, unakula na kunywa juu
Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe huu urembo tunataka wenyewe duh kwa ushambabwangu hapo natoka nduki mana si kujikanda huko +kucha
Ni mintSamahani kwa ushamba na usumbufu mkuu, hivi hilo jani sio bangi mbichi kweli?
camera nzuri sana naona pixels zake kama sijakosea ni kama za uwezo wa jicho la binadamu kabisa