Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwee zile ni picha tu my dear, camera ya simu yangu inanibeba sana ukiniona live utakimbia. [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Hehehe wazee wa beauty plus sio? Ila haijalishi kama mzuri mzuri tu ila naona we hujakutana na wale ambao mpaka snapchat imewakataa 😂
Me yale macho tu, woii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungeviona vidole vyangu ndiyo ungejua jinsi gani umebarikiwa, pengine hauwezi kuona umuhimu wa miguu hadi ukutane na kiwete. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Halafu Saint Anne hata wewe tu ni dada yako, usimkosee adabu teh.
[emoji3][emoji3] unapenda kusifia kama mdogo wako Saint Anne
Vya kawaida sana hivyo.
 
Back
Top Bottom