Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na atleast kipindi hicho watu walikuwa wanaanzisha threads za maana na watu wanatoa comments za maana, siku hizi naona utoto mwingi na members wengi wa zamani wamepotea mmebaki ninyi wachache mnaoienzi JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani daaah those days acha tu[emoji134]
Usipoingia jf unajihisi kuumwa.
 
Hahah...

Nifuraha sana kukuona
Mkwe ulikua unanichimba
Mikwara sana...

Parking hujaiweka vizuri mara
Unataka muamala usome na
pembeni huko nasikia umeshapokea mahari kwa njemba nyingine kama 3

Vuruguuu tupuuuu...


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe acha kunisingizia jamani, sijapokea mahari yoyote hadi sasa. Nilikuwa nasubiri yako tu.
 
..
20200329_181245.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi naambiwa "mke wangu alikuwa HS" jamaniii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkwe wangu mswahili kuliko wooote[emoji134][emoji134]
Ukanifanya nikaandaa parking mwisho ikaota majani na kuwa kichaka. Sasa hivi nalima tu mbogamboga.

Heaven Sent ukuje mumeo kafufuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamoo zilipendwa
During Kikwete's moment
tumekula bata sana
Mke wangu alikua ni
Heaven Sent Mama ake alikua ni atoto japo nilikua na baba mkwe wengi mno atoto kila siku anasema huyu ndio baba mtoto. Ila yule muuza vifuniko vya utamu nadhani alikua baba mkwe halisi.

Mshenga alikua ni Raimundo na chawa wetu alikua ni Behaviourist mzee wa chura
It was a great experience,

Sasa muda umepita sielewi huyu Jael ndio atoto au Heaven Sent?

Ona leo tunakunywa K-Vant small bottle ya Tsh 4000/= tu!

Raimundo
Behaviourist
View attachment 1402223

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom