Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,380
- 88,736
Hebu siku moja Paula ukate tu mzizi wa fitina uliachilie hili guu at least just once....Hata kama ni kwa sekunde chache halafu unalifuta...ila unishtue kabla hujaliweka ili nikodoe jicho kodoGuys, comment ya mtu mmoja ndio mnaijadili tangu jana kweli? Is he worth it? Really?View attachment 1356049





Hizi nyimbo zinapatikana wap mkuu?
Busara tupu yaani...Mwanzoni selfie zilikuwa selfie kweli, wengine tukajisahau na madawa ya Mshana Jr tukajipost bila hata emoj waliona wakaona...
watu wengine ni anonymous forever hawataki hata aina ya vidole vyao vifahamike hapa JF.
Mwingine katupia zake kiatu kikali kasema Nyani Ngabu unakuwa huwezi kujua kama ni chake au cha google kisa tu amekipost member fulani hapa raia wanaona yule kama anaSHOW OFF kisa kapost kitu kikali / cha gharama.
Me naona mitazamo ya watu ndio iko hovesmtu anapata kiungulia cha nafsi kisa kuna member kapost gari ya mzungu akijicheck yeye hata ya mchina hana au ipo garage huu mwez wa 7 ni lazima ahisi yule member anajimwambafy kumbe walaa mtazamo wake ndio umempeleka pabaya.
Ni hayo tu, Don't hate, get inspired![]()
Give your fingers a break sweetheart. Unadhani watabadilika?Acha tuseme tu watu wajifunze my dear,, mie nilisikitika nauliza watu kwanini wametukimbia huku kwenye selfie najibiwa eti huu uzi umekuwa wa kujimwambafy ilibidi niweke kwanza simu pembeni ili nishangae vizuri..
Kwa kweli inashangaza sana na haiingii akilini
Hapo umeona miguu ya watu wangapi?Hebu siku moja Paula ukate tu mzizi wa fitina uliachilie hili guu at least just once....Hata kama ni kwa sekunde chache halafu unalifuta...ila unishtue kabla hujaliweka ili nikodoe jicho kodo![]()

na upi ndio unataka uachiliwe?Acha kuplay miziki yenye 128kbps. Hii hata ukiweka kwenye speaker utasikia kelele kiasi flani. Najua hizi za Kiafrika kupata 360kbps ni ngumu lakini ukipata hizo utaenjoy.
Sawa jamani mdogo wangu mzurisi kicheko eti jamani dada
Basi yesheeeAcha tuseme tu watu wajifunze my dear,, mie nilisikitika nauliza watu kwanini wametukimbia huku kwenye selfie najibiwa eti huu uzi umekuwa wa kujimwambafy ilibidi niweke kwanza simu pembeni ili nishangae vizuri..
Kwa kweli inashangaza sana na haiingii akilini
Sikubalizimeisha kabisa dada
Love yaAmen dear.
Jambo Afandee
Emu niwache 😀😀