Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha kuplay miziki yenye 128kbps. Hii hata ukiweka kwenye speaker utasikia kelele kiasi flani. Najua hizi za Kiafrika kupata 360kbps ni ngumu lakini ukipata hizo utaenjoy.
Ni kweli mkuu tho sijapata distortions so far... But in addition best quality audio format kwa portable devices ni FLAC ambapo ni nusu ya audio quality ya CD... Always hii inakuwa mpaka 6 times large compared to mp3 format...
IMG_20200213_183332.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom