Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Sawa mdogo wangu mzuri mzuri jamaniYameisha dada
Sawa mdogo wangu mzuri mzuri jamaniYameisha dada
Mwenyewe babe[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Salamu zimefika tuna enjoy tu.Msalimie wifi,ndo mko zenu dubai mna enjoy [emoji4]
Naona shemeji kajilipua Nate huko. Safi sana
[emoji7][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] okay madam,, I got you..
Hivi sikukuu ya wapendanao si ni hadi kwa wale tunaowapenda kama mimi na wewe?.Love ya
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] yes exactly,, now we talking..
Naiweka sasa hiviii....Tuwekee picha yake tumuone huyu mdogo wako mzuri mzuri
Ndio jamani dear!Hivi sikukuu ya wapendanao si ni hadi kwa wale tunaowapenda kama mimi na wewe?.
Nasubiri zawadi[emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Poleee nitakutumia ata ubuyu wa Zanzibar ujimwambefy kidogo 😂Unajimwambafy eeh? 😄😉
Sie tusio na watupendao ngoja tujinyongefy basi 😞