Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamani kaka yangu kipenzi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kweli wewe nahisi unawaelewa,, mie nimeshangaa aise yaani mtu analalamika kabisa eti..
Ni matatizo yao binafsi [emoji3]
Mtu anapost kile anachojisikia kushare nasi mtu mwingine huko anaanza kupata sononeko, me nimeshindwa kuwaelewa.
 
C'est la vie,, mon ami..

Kuna mtu atakuja sema najikuta mjuaji sababu nimeandika kifaransa,, utasikia "kifaransa chenyewe cha kugoogle tu" lol..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo kwangu unepatiiiaaa!!
Wewe utakuwa Unanijua kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…