Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
Punguza kasi mkuu utaambiwa una show off😅😅😅😅 dah shemegi kapendeza.



si ndiyo vizuri unakuwa inspired
Image upo kwenye daladala kisha unafunguo mapicha ya kifahari![]()
pls niko chini ya miguu yako naomba unitumie😀😀Nimefuta mda 😎



basi mie nimeona mbili hiyo nyingine ikoje
Nilicheka jana, halafu zipo 3 za aina tofauti
Shemela siku nyingine 😀pls niko chini ya miguu yako naomba unitumie😀😀
Huwezi kumridhisha kila mtu fanya yako kadiri ya uwezo wako watu tukiona uzi hautufai tutasepa kimya kimya.😀😀Lol nilisahau wabongo tuna roho za ki-JPM. Anyway ni muda wa ku-log out na kuendelea na maisha sasa.
Ni utani mkuu tuwekee picha.Lol nilisahau wabongo tuna roho za ki-JPM. Anyway ni muda wa ku-log out na kuendelea na maisha sasa.
Mi Babu yako.Mdogo wangu nitake radhi
Oh!Lol nilisahau wabongo tuna roho za ki-JPM. Anyway ni muda wa ku-log out na kuendelea na maisha sasa.
Aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Kwenye social media kujimwambafy muhimu bhana.Wacha bana...me hata ya inches 21 imenishinda, we jimwambafy tu kwa raha zako 🤣🤣🤣🤣
Babu ni jina tu, hujawai siku mtu anaitwa Babu Ally? Nahisi ndio weweMi Babu yako.
Wozi hapi
Hii sehemu naifananisha na kijiji fulani huko MtwaraWozi hapi View attachment 1355542
Oooh oooh ohhhh badi gali weweWozi hapi View attachment 1355542

.... Hau mene sprinti yu didi?? Endi hei yu orede misidi
Huko chini ya miguu unafanya nini eti jamanipls niko chini ya miguu yako naomba unitumie![]()