Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimevaa ya Barcelona sasa hivi,, nina ya Man U ila nimehama timu so natafuta wa kumpa..

Saint anne nikaribishe Liverpool basi,, naona hadi sasa tunaongoza kwa bao moja..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ya Man U hata ukinipa bure naichoma na kuyatupa majivu yake Baharini siwapendi walivyowanyanganyaga Ugali mdomoni bayern kweye final 99.
 
Back
Top Bottom