Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Ama kweli man uno inawatesa watu








Hivi hiyo nayo Ni timu au Ni mdudu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ama kweli man uno inawatesa watu








Kwanza nielekeze namna ya kupata namba ya nida.
Ulisema 152 ,halafu naenda sehemu gani???
Sitaki kufungiwa Mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni *152*00# halafu 3 kwenye ajira na utambuzi halafu 2 kwenye nida halafu watakuuliza unataka upate namba yako kupitia 1 taarifa za mama au 2 namba ya simu uliyosajilia hapo utachagua mwenyewe
Ukichagua 2 watakuambia uandike majina yako matatu then huko mbele watakuambia uandike hiyo namba ya simu uliyosajilia halafu blah blah blah then kama una salio la kawaida watakukata sh 100 ila kama hauna watakuambia salio lako halitoshi kufanya hiyo huduma sijui kitu kama hicho we jaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nitafwata maelekezo yote..Tumia hii mbinu ni nzuri zaidi.
Ingiza Jina la kwanza*Jina la mwisho*Tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa*Jina la kwanza la Mama*Jina la mwisho. Mfano IMA*ALI*3101980*EVA*DEO. Tuma kwenda 15096
Majina yote yawe kwa herufi kubwa.





khaa
Sasa mtoto wa forest mahakamani,utakujulia wapi wigamba na itende?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana nimeshangaa Dada unataka oune lips za Dada pole in Kenyan voice.
Moud anakuita kule


Mwanitesa nyumbu hao watakupa vidonda vya tumbo bure
Kuna timu sio za kushabikia walahi
Sent using Jamii Forums mobile app



Baby face na Teddy sheringham ndiyo walidokoa Ugali iliniuma sana kuona beki mmoja wa Bayern mweusi akilia kama kafiwa.
WoyoooooooNa tumeshinda shoga yangu mbili bila,, mo salah na van dijk kama kawa wamefanya yao..
Sent using Jamii Forums mobile app




Tumia hii mbinu ni nzuri zaidi.
Ingiza Jina la kwanza*Jina la mwisho*Tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa*Jina la kwanza la Mama*Jina la mwisho. Mfano IMA*ALI*3101980*EVA*DEO. Tuma kwenda 15096
Majina yote yawe kwa herufi kubwa.
Huyo walaaaa hawezi kunishawishi.
😂😂😂😂

Tumia hii njia pia iko vizuri.
Ingiza Jina la kwanza*Jina la mwisho*Tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa*Jina la kwanza la Mama*Jina la mwisho. Mfano IMA*ALI*3101980*EVA*DEO. Tuma kwenda 15096
Mfano
SAINT*ANNE*16082001*MAMA*ANNE
Halafu tuma kwenda 15096