Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Ataweza kufika?
Asije zimia njiani..Huku kwetu na haya maporomoko ya mvua[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo Malipsi raha yake ni kutelezeka na ulainiulaini fulani hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtafute, yule akiniambia walah jina linarudi.
Yaani nimecheka Mimi jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki ya Mungu Saint anne niache mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi itaisha kwenye saa 3.30 hivi, nitaleta matokeo mwenyewe fanya kuandaa hiyo picha.
Shwaini zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan wewe
Haki ya Nani[emoji1][emoji1]
Karma naomba umuhimize huyu kuandaa picha.Mechi itaisha kwenye saa 3.30 hivi, nitaleta matokeo mwenyewe fanya kuandaa hiyo picha.
Haki ya Nani[emoji1][emoji1]
Ulinambia umeacha,au zilikuwa akili za pombe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada unantisha kwani wewe ni Lesbo oune malips ya nini sasa.Kaka umeshindwa hata kunitag na mimi nije kuona hayo malipsi jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134][emoji134][emoji134]Hahaha nimekaa nikawafikiria wanaotengeneza hizi pombe,nikafikiria watu walioajiriwa na wanalipwa mshahara kwa ajili yetu..nikaona sio busara kuzitaabisha familia zao
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji3].Karma naomba umuhimize huyu kuandaa picha.
Tena akichelewa umdai kabisa,picha full.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninasuka siku hizi.Wewe unanyoa bana