Hey beauty miaka yangu ni 6²+13/7 5*3-2 [emoji28] don't bother yourself to calculate . In case uki calculate jibu lake +2 utapata miaka yangu halisi uki+ 4 unapata miaka yako. [emoji6]
HahahahaUkimfunga man u niite nije nikuwekee hapa[emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kurudi nyuma, ni "mbere kwa mbere" tu
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Wewe ni yupi hapo mkuu19° ...[emoji175]View attachment 1327564
Ndo Kwanzaa nalisikia hilo jina.Issa Matona huyo
Jr[emoji769]
Kabisa yaaniNgoja nikamhonge Maksi afanye mafrekechee hiyo makitu hapo isomeke Espy halafu namuambia asikubadilishie ng'oo hata umuombe vipi,, nimegundua tukikubembeleza wewe tunajisumbua tu..
Saint anne are you in
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti enh,, basi haina shida kote huko nitakuzungusha hadi kule kwa kina Saint anne nako nitakupeleka usijali kabisa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo Malipsi raha yake ni kutelezeka na ulainiulaini fulani hivi.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji39]
Wa mbele ...Wewe ni yupi hapo mkuu
Kama wewe mtoto laini umefika mi ntashindwaje.Nikifika utanipa mji?Ataweza kufika?
Asije zimia njiani..Huku kwetu na haya maporomoko ya mvua[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama wewe mtoto laini umefika mi ntashindwaje.Nikifika utanipa mji?
Unaonekana tu.
HayaWa mbele ...