Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,346
- 17,669
Akija mwambie avae Ile jezi ya taifa stars inampendeza sana.
Akija mwambie avae Ile jezi ya taifa stars inampendeza sana.
Ngoja ufungwe nikuzomee vizuri..
Mimi timu yangu livapuu
Usisahau kutuma kapicha, Tena kakiwa full
Sent using Jamii Forums mobile app
tufanye kubet atakae fungwa anatuma kapicha full without sticker ya kuficha uso. Deal?Hahahahaah,amesikiaAkija mwambie avae Ile jezi ya taifa stars inampendeza sana.
Sasa hili nalo la kubet?tufanye kubet atakae fungwa anatuma kapicha full without sticker ya kuficha uso. Deal?
OK ngoja tusubiri.Sasa hili nalo la kubet?
Utaituma wewe hiyo picha maana liva tutashinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu kapotezee jamanii😍



khaa we mtoto nihurumie mimi na hesabu
Hey beauty miaka yangu ni 6²+13/7 5*3-2don't bother yourself to calculate . In case uki calculate jibu lake +2 utapata miaka yangu halisi uki+ 4 unapata miaka yako.
![]()
Angalia stooPicha iko wapi?
Ati mtoto dah basi sawa Dada.
Mpira unaisha saa ngapi?OK ngoja tusubiri.
Shwaini zako 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yan wewe