Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

..
tapatalk_1579332505463.jpeg

Jr
 
Kwanza nielekeze namna ya kupata namba ya nida.
Ulisema 152 ,halafu naenda sehemu gani???
Sitaki kufungiwa Mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni *152*00# halafu 3 kwenye ajira na utambuzi halafu 2 kwenye nida halafu watakuuliza unataka upate namba yako kupitia 1 taarifa za mama au 2 namba ya simu uliyosajilia hapo utachagua mwenyewe

Ukichagua 2 watakuambia uandike majina yako matatu then huko mbele watakuambia uandike hiyo namba ya simu uliyosajilia halafu blah blah blah then kama una salio la kawaida watakukata sh 100 ila kama hauna watakuambia salio lako halitoshi kufanya hiyo huduma sijui kitu kama hicho we jaribu

Tumia hii mbinu ni nzuri zaidi.

Ingiza Jina la kwanza*Jina la mwisho*Tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa*Jina la kwanza la Mama*Jina la mwisho. Mfano IMA*ALI*3101980*EVA*DEO. Tuma kwenda 15096

Majina yote yawe kwa herufi kubwa.
 
Back
Top Bottom