wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,388
- 29,033
Hivi mbona nashindwa kuweka emoj kama wewe kujifunika uso au ka vile saa hivi natumia simu
Hivi mbona nashindwa kuweka emoj kama wewe kujifunika uso au ka vile saa hivi natumia simu
Sory mkuu mbona simu yangu hii namna ya kuweka emoj kuziba sura kama weee nashindwa kwaupande wa hii app y jf tuu app nyingine nawezaView attachment 1305370
Lucky are those who get to live right by the beach.
[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Vipi yupo njiani nini?
Karibuni homeView attachment 1305468
Duh!
Of course!
Ahsante mkuu
Mkuu mimi natumia browser lakini pia nazitengeneza hizo picha kwanza halafu naenda kuzichkua from gallerySory mkuu mbona simu yangu hii namna ya kuweka emoj kuziba sura kama weee nashindwa kwaupande wa hii app y jf tuu app nyingine naweza
I think about you in the summertime. Wale wazee wa oldies. View attachment 1305315
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] nimekusaidia kugoogle na hiko ndicho nilichokutana nacho,, wallah google inavuta bangi siku hizi haitaki stress kabisa kusumbuana na watu yaani..View attachment 1305653View attachment 1305654
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] nimekusaidia kugoogle na hiko ndicho nilichokutana nacho,, wallah google inavuta bangi siku hizi haitaki stress kabisa kusumbuana na watu yaani..View attachment 1305653View attachment 1305654
Sent using Jamii Forums mobile app
Ole wako ufute[emoji3][emoji1787][emoji1787]big blast?? Hebu niahidi kitu cha maana ndiyo nifute huko!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri tar 31 uniletee album ya picha.Wala hata usijali we siku ukishakamilisha processes zote ukapata kila kitu hata iwe miaka kumi ijayo niambie tuonane ili tuelewane,, ila kwa sasa ile picha acha tu iendelee kukaa kwa album yangu..
Hivi Saint anne utanilipa kwa hii kazi lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nikishindwa nitawateka na Saint anne wote[emoji23][emoji23]
Maajasusi tuliobobea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unatukamatia wapi?? sie wenyewe hapa tulipo tu ni majasusi hivyo hatutekeki kizembe!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app