Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] swadaktaaa hizo ndio maneno sasa,, haya niambie tunakutana lini unipe kadi ya gari na hati ya nyumba ili nami nifute picha mbele ya hayo macho yako mazuri.. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kuforce kesho haiwezekani labda kesho kutwa

ILA si unajua process yakuleta gari mama

Tuanze na bungalow
 
Wala hata usijali we siku ukishakamilisha processes zote ukapata kila kitu hata iwe miaka kumi ijayo niambie tuonane ili tuelewane,, ila kwa sasa ile picha acha tu iendelee kukaa kwa album yangu..

Hivi Saint anne utanilipa kwa hii kazi lakini

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
 
Back
Top Bottom