Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20191227_122307.jpg
 
Hahahaha basi mie nikikaa kimya ndiyo najiletea nyongo bora niongee tu kwa kweli,, anyway siku hizi nimeacha kuongea sababu sina nguvu za kubishana ila mitazamo yangu iko pale pale na wao pia nawaacha na mitazamo yao and life goes on..
Usiendelee, achana na mambo hayo. Life's so beautiful, ukianza hayo unajiletea nyongo tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnatusema na TBT yetu jamani, yaani nimeishi sana TBT[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yapo maeneo mazuri na mabaya. Kifupi Dar yote ndio ilivyo, maeneo mengi bi hovyo tu, tena hovyo tu.
Hapana tbt papo pa kishua pia [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ila Dar hovyo Tu mpk Mbezi beach kuna mafuriko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom