Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,438
- 52,925
Sio ukweli wa mbali, ni wa karibu kabisaKuna ukweli kwa mbali
Sio ukweli wa mbali, ni wa karibu kabisaKuna ukweli kwa mbali
Hawa mbona kachonganishi ivyo?Una hamu na kutukanwa,Goddess kuna mtu anakuchokoza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo jamaa wa Kulia ni nani?
Naona unachunga kondoo yako
Huyo ndiyo Kocha wa pili kumpiga Guardiola Home and Away ndani ya msimu mmoja. Wakwanza alikua Conte wa Chelsea.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo jamaa wa Kulia ni nani?
Kumbe Karma nae ni kiboko ehh..mpe salamu
Naona unachunga kondoo yako
[emoji1787]Mbona anafanana na Jesus?Huyo ndiyo Kocha wa pili kumpiga Guardiola Home and Away ndani ya msimu mmoja. Wakwanza alikua Conte wa Chelsea.
Nimejikuta nakumbuka wimbo wa French Montana unforgettable sijui kwanini.