Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952
Nipo na explore yaani anyway picha nzuri makeup imetulia .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitakiwa uwe lindoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitakiwa uwe lindoni
Ahsante




Ndo maana ukajidai unaenda kulala![]()




Ifute basi nitakununulia big blast

big blast?? Hebu niahidi kitu cha maana ndiyo nifute huko!!
Ifute basi nitakununulia big blast


basi nitakuletea mentos na diary milk extra large ile

basi mm huwa naacha picha humu kwa 30 min thn nakuja kuifuta
10 zote hizo wakati Karma keshaopoa hata3 hazijafika nahisi
Unachelewa sana ila na ww ukiweka nitag bwana




sasa hizo zawadi mbona za kudanganyishia watoto jamani?? Mie nataka zawadi zinazoeleweka aise
basi nitakuletea mentos na diary milk extra large ile
Nitakununulia maseratisasa hizo zawadi mbona za kudanganyishia watoto jamani?? Mie nataka zawadi zinazoeleweka aise
Sent using Jamii Forums mobile app




Unachelewa sana ila na ww ukiweka nitag bwana![]()
dah ksma mm
napenda selfies sana
dah ksma mm
sijapiga full picture nna mwaka mzima



swadaktaaa hizo ndio maneno sasa,, haya niambie tunakutana lini unipe kadi ya gari na hati ya nyumba ili nami nifute picha mbele ya hayo macho yako mazuri.. 


Nitakununulia maserati
Na bungalow masaki![]()
dah ksma mm
sijapiga full picture nna mwaka mzima