Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Hehehehe tena naomba nipigilie na msumari kabisa hapo,, binti ni muongo huyo usimuone hivyo ungekuwa unashinda kwa huu uzi ungemjua vizuri uongo wake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie najuaga Hawachi ni muongo lakini i never knew kwamba ni muongo to this extent![emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app