Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,215
Ndio ndio ongeza na peachesOngeza na maparachichi..
Ndio ndio ongeza na peachesOngeza na maparachichi..
Angalia usichomoke 😀😀Hadi moyo umeshtuka..
I miss you
Naleta bamps 😀😀Sasa from mombo to Same ni mnyooko![]()
Me too.
Shida pale unapohitaji kubadirishana mawazo
Wanafunzi tu ninyi hamna lolote
vijana tutafute hela.
kuna watu wanakula maisha bhana.
huu ni muonekano wa ndani wa cruise ship inayojulikana kwa jina la sky princess.
hili dude hubeba watu classic na kuzunguka nao maeneo mbalimbali duniani kwa ajili ya vacation na kula bata tu, nasisitiza, kula bata tu.
juzi kati ilikuwa bahamas na sasa ipo kando ya bahari ya athens, ugiriki.
nasikia kuna familia nne za watanzania toka mkoa wa kagera na kilimanjaro wapo humo ndani wanakula maisha. mambo ya holiday seasons hayo.
View attachment 1300939
Mimi ni nani hata nikatae ombi lako @melanny
Jr![]()
Nioneshe migomba 😀😀😀Nipo moshi now
Leta bumps tuu
What motive?She woke me up for breakfast, but she had her motive.
View attachment 1301085
View attachment 1301086
What motive?
Lol to have it. Look at her, burger on one hand, pizza the other.



