Sisi tunavizia watoto wa kina Dangote...Nanyi mnakwama wapi kuwa kama Dangote hadi mtukwamishe na sisi![]()



I'm taken 💍
UsijaliUsisahau ukiona dalili za mtonyo, usisite nijulisha tuutumbue sote
MAKUMBUSHO Nawafahau wana nyimbo moja inaitwa Head over Heels.Poa..
Unawafahamu The Go Go's
Unajua Mziki pia huendana na mood uliyonayo kwa wakati huo. Kuna wakati unaweza hisi mziki flani ni mzuri sana wakati mwingine ukahisi ni wakawaida.Nimeusikiliza ila sijaupenda kiivo.. ngoja niupe muda..View attachment 1301240
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah inabidi tuhamie kule ili kuimarisha bond
I guess hiyo ni cruise ship zile zinakuwa kama kijiji cha maraha hivi...
Unalipa mtonyo fulani wa kutosha then mna cruise across nchi kadhaa "nowhere voyages" ili tu kutafuna kuku na bata wa kisasa...
Ndio muolewe na kina Dangote mle bata, mnakwama wapi wadada kuolewa na kina siye wa kwa Mtogole, mnaishia kugonga misumari na sare ya jela...
![]()
Sitaki nataka za migomba![]()
Nanyi mnakwama wapi kuwa kama Dangote hadi mtukwamishe na sisi![]()
Hahah sijawahi kupanda hilo dude maana sina uwezo huo financially na wala sina mpango hata kama ningelikuwa na hela za kutupa...Hahahaha lol si ndiyo hadi tupate hao wanaume ambao wako tayari kumwaga pesa zao kwenye hayo maraha sasa?? Kuna wanaume wana pesa mob tu ila wao na kusafiri ni kama maji na mafuta!!
Halafu na wewe usikute umo ila basi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamletea zawadi za Christmas mapema.Pm kwako mambo si mabaya ni moto
Hahah sijawahi kupanda hilo dude maana sina uwezo huo financially na wala sina mpango hata kama ningelikuwa na hela za kutupa...
Taarifa zake ninazo kwa kuwa mimi ni mpenzi wa kutazama documentaries, mfano Nat Geo Mega Structures kuna episodes kadhaa wakionesha habari za hayo madude