Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,203
Hebu wajibu wachumba haoSio wewe umeniPM na ID nne tofauti?
Hebu wajibu wachumba haoSio wewe umeniPM na ID nne tofauti?
Aisee una kipaji mamiii😄
Hahaha sawaHebu wajibu wachumba hao
Ni mchaga huyu bibie
Aisee una kipaji mamiii[emoji1]
Ni mchaga huyu bibie
Kumbe mchagga ndo mana
Haya chat na picha sasa
Yesu na Maria alinambia mwenyewe kwamba ni mchaga nashangaa anakataa leo 😄😄
Loh!yeye anasema kakupa muda mrefu....sijui hata nani mkweli [emoji23]
Hivi Hawachi utaacha lini uongo?[emoji23][emoji23]
Yesu na Maria alinambia mwenyewe kwamba ni mchaga nashangaa anakataa leo [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we niamini mimi kama ambavyo mi siku ile nilikuamini wewe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ya tangu mwaka jana mwishoni. Ipo kwenye album ya phoenix ilitoka mwaka jana kama sikosei, nyimbo zote kwenye hiyo album ni kali.Yupo Karma na nyimbo zake nyingi ni bomba sana, hii ni nyimbo yake mpya
Kasema yeye mnyakyusa....weka picha sasa