Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
We hulalagi...
Nimekuja mjini watu wote hampo ,ngoja na mm nieleke kijijini

😎
😀😀Eeh nilitest ile yako ,nikaifuta
MTC | 101|![]()
We me nipo mjini....njooNimekuja mjini watu wote hampo ,ngoja na mm nieleke kijijini
MTC | 101|![]()

Nimekuja mjini watu wote hampo ,ngoja na mm nieleke kijijini
MTC | 101|![]()
Mimi nipo himo hapa...kanyaga wese hilo kabla tochi hazijaamka
We me nipo mjini....njoo
Pamojaa mkuuuMimi nipo himo hapa...kanyaga wese hilo kabla tochi hazijaamka
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu.. mm hua nalala saa 9 ila saa 12 na 20dk usingizi kwisha. Nikilala saa 4 basi saa 9 usiku lazima usingizi uwe umeisha hvo nabaki nasota tu kwenye mkeka wangu
Pole sana mkuu.. mm hua nalala saa 9 ila saa 12 na 20dk usingizi kwisha. Nikilala saa 4 basi saa 9 usiku lazima usingizi uwe umeisha hvo nabaki nasota tu kwenye mkeka wangu
Pole sana mkuu.. tafuta partner wa kulala naeYeah hata mie ndiyo lala yangu hiyo,, huwa silali masaa mengi sababu ndivyo nilivyojizoesha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuu, ni nyimbo nzuri.James comey na Waold moshi..
Ahsante japo hainihusu hizo nyimbo nitazikiliza kesho tuone kama nitazipenda