Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Heheh Karma kupanda hayo madude ni mpunga mrefu...
Ila napenda safari ndio maana ninayafahamu maeneo mengi sehemu kubwa ya TZ...
Hapa yenyewe nafikiria wapi niende safari wikiendi kadhaa zijazo...
cruisemarketwatch.com
Heheh Karma kupanda hayo madude ni mpunga mrefu...
Ila napenda safari ndio maana ninayafahamu maeneo mengi sehemu kubwa ya TZ...
Hapa yenyewe nafikiria wapi niende safari wikiendi kadhaa zijazo...
Kusema ukweli wala si gharama kivile.
I’ve been on two cruises, thus far. One to St. Thomas and one to the Bahamas.
And both of them were under $1K for 5 days.
Na kila mara huwa kuna promotions kibao. Nina imani asilimia kubwa ya wasafiri kwenye hizo meli huwa hawalipi full price [whatever that is].
Au labda kwa mpunga mrefu unamaanisha kuanzia kiasi gani? Manake muktadha nao ni muhimu.
$1,500.00 inaweza kuwa wastani kwa mtu A lakini ikawa mpunga mrefu kwa mtu B na C.
Financial Breakdown of Typical Cruiser | Cruise Market Watch
cruisemarketwatch.com

Karma jichange kuna za bei yetu wakulima ukisave inawezekanaView attachment 1301502
Comrade kwa sisi wabongo wengi wetu kula bata inayozidi 1mil kwa mkupuo mmoja ni mpunga mrefu (at least kwa uzoefu wangu)...
Sasa ukijumlisha na zile costs za kuyafuata hayo madude kwenye port ya karibu plus tena kurudi...
Mfano kwa TZ the closest cruise ship ni Costa Mediterranea yenyewe inazunguka visiwa vya karibu Seychelles,Madagascar, Mauritius na ReUnion...
Sasa kuipanda hii inabidi uifuate Port Louis, Seychelles...sasa hadi kila kitu kinaisha unaweza pata umechoma dola 2500$ hivi...
Hahah kibongo bongo hapo ushaleta Vitz toka Japan, bado hela ya kutolea tu TRA![]()

Mwee unataka kuniambia hadi wenye mamilioni nao wanaona shida kutumbua hizo M tu kwa ajili ya kula bata??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah...
Sasa kwani unashindwa kwenda hata hapo Sadani au Kilwa au Magoroto?
Ni pesa ndogo tu na muda mdogo (less than 4 days trip)
Some folks wako na hela, wana spend tu bila shida...